Резюме на епизода
Ukosefu wa Vifaa vya Uchoraji umechangia Sanaa hiyo kudumaa, sasa wachoraji wanalazimika kuagiza kutoka nchi za nje, Kaguta atafuta ufumbuzi.
Ukosefu wa Vifaa vya Uchoraji umechangia Sanaa hiyo kudumaa, sasa wachoraji wanalazimika kuagiza kutoka nchi za nje, Kaguta atafuta ufumbuzi.
Епизоди
Sanaa ya uchoraji jijini Dar es salaam naye Nasima yasin Abubakari
СлушаноUkosefu wa Vifaa vya Uchoraji umechangia Sanaa hiyo kudumaa, sasa wachoraji wanalazimika kuagiza kutoka nchi za nje, Kaguta atafuta ufumbuzi.
Tanzania: Tamasha la marafiki festival mwaka wa 2026
СлушаноWikendi hii tunaangazia msimu wa saba wa tamasha la marafiki festival. Tamasha linalolenga kutangaza utamaduni wa Tanzania.
Tanzania: Tunaliangazia kundi la Lumumba Theatre
СлушаноLumumba Theatre ni Kundi la Muziki wa Asili linalochanganya Midundo ya kisasa na ya zamani ili kupata Ladha Mpya, Tunaangazia kundi hilo katika makala ya n yumba ya Sanaa Juma hili.
Ushairi wa kisasa na Paul Mejooly
СлушаноPaul Mejooly alianza kutunga Mashairi akiwa Shuleni sasa ni Biashara inayomuingizia kipato, Tumezungumza naye kwenye Makala ya Nyumba ya sanaa.
Zanzibar: Taarab asilia na Qudara Gwingwi
СлушаноEgyptian Taarab hii Bendi ya Muziki wa taarab, mzizi wa muziki wa Taarab unaofahamika leo katika Mwambao wa Afrika Mashariki, hasa visiwani Zanzibar,katika Makala ya Nyumba ya Sanaa wiki hii utamsikia Qudra Gwingwi Muimbaji wa bendi hiyo.